Native Bible

Psalms 87:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mambo matukufu yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu:

Psalms 87:3 in English

Psalms 87:3 · Berean Standard Bible

Glorious things are ascribed to you, O city of God. Selah

Context

1Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu; 2Bwana anayapenda malango ya Sayuni kuliko makao yote ya Yakobo. 3Mambo matukufu yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu: 4“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu* na Babeli miongoni mwa wale wanaonikubali mimi: Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi,* nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ” 5Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, “Huyu na yule walizaliwa humo, naye Aliye Juu Sana mwenyewe atamwimarisha.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.