Native Bible

Psalms 87:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana anayapenda malango ya Sayuni kuliko makao yote ya Yakobo.

Psalms 87:2 in English

Psalms 87:2 · Berean Standard Bible

The LORD loves the gates of Zion more than all the dwellings of Jacob.

Context

1Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu; 2Bwana anayapenda malango ya Sayuni kuliko makao yote ya Yakobo. 3Mambo matukufu yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu: 4“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu* na Babeli miongoni mwa wale wanaonikubali mimi: Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi,* nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.