Native Bible

Psalms 87:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu* na Babeli miongoni mwa wale wanaonikubali mimi: Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi,* nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ”

Psalms 87:4 in English

Psalms 87:4 · Berean Standard Bible

“I will mention Rahab * and Babylon among those who know Me— along with Philistia, Tyre, and Cush *— when I say, ‘This one was born in Zion.’”

Context

2Bwana anayapenda malango ya Sayuni kuliko makao yote ya Yakobo. 3Mambo matukufu yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu: 4“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu* na Babeli miongoni mwa wale wanaonikubali mimi: Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi,* nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ” 5Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, “Huyu na yule walizaliwa humo, naye Aliye Juu Sana mwenyewe atamwimarisha.” 6Bwana ataandika katika orodha ya mataifa: “Huyu alizaliwa Sayuni.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.