Zaburi 87:5
Psalms 87:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, “Huyu na yule walizaliwa humo, naye Aliye Juu Sana mwenyewe atamwimarisha.”
Psalms 87:5 in English
Psalms 87:5 · Berean Standard Bible
And it will be said of Zion: “This one and that one were born in her, and the Most High Himself will establish her.”
Context
3Mambo matukufu yanasemwa juu yako,
ee mji wa Mungu: 4“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu* na Babeli
miongoni mwa wale wanaonikubali mimi:
Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi,*
nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ” 5Kuhusu Sayuni itasemwa hivi,
“Huyu na yule walizaliwa humo,
naye Aliye Juu Sana mwenyewe
atamwimarisha.” 6Bwana ataandika katika orodha ya mataifa:
“Huyu alizaliwa Sayuni.” 7Watakapokuwa wanapiga vinanda wataimba,
“Chemchemi zangu zote ziko kwako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.