Native Bible

Psalms 87:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu;

Psalms 87:1 in English

Psalms 87:1 · Berean Standard Bible

He has founded His city on the holy mountains.*

Context

1Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu; 2Bwana anayapenda malango ya Sayuni kuliko makao yote ya Yakobo. 3Mambo matukufu yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.