Native Bible

Psalms 71:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa.

Psalms 71:8 in English

Psalms 71:8 · Berean Standard Bible

My mouth is filled with Your praise and with Your splendor all day long.

Context

6Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe, ulinitoa tumboni mwa mama yangu. Nitakusifu wewe daima. 7Nimekuwa kama kioja kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara. 8Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa. 9Usinitupe wakati wa uzee, wala usiniache nguvu zangu zinapopungua. 10Kwa maana adui zangu wananisengenya, wale wanaonivizia kuniua wafanya hila.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.