Zaburi 71:10
Psalms 71:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana adui zangu wananisengenya, wale wanaonivizia kuniua wafanya hila.
Psalms 71:10 in English
Psalms 71:10 · Berean Standard Bible
For my enemies speak against me, and those who lie in wait for my life conspire,
Context
8Kinywa changu kimejazwa sifa zako,
nikitangaza utukufu wako mchana kutwa. 9Usinitupe wakati wa uzee,
wala usiniache nguvu zangu zinapopungua. 10Kwa maana adui zangu wananisengenya,
wale wanaonivizia kuniua wafanya hila. 11Wanasema, “Mungu amemwacha,
mkimbilieni mkamkamate,
kwani hakuna wa kumwokoa.” 12Ee Mungu, usiwe mbali nami,
njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.