Native Bible

Psalms 71:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanasema, “Mungu amemwacha, mkimbilieni mkamkamate, kwani hakuna wa kumwokoa.”

Psalms 71:11 in English

Psalms 71:11 · Berean Standard Bible

saying, “God has forsaken him; pursue him and seize him, for there is no one to rescue him.”

Context

9Usinitupe wakati wa uzee, wala usiniache nguvu zangu zinapopungua. 10Kwa maana adui zangu wananisengenya, wale wanaonivizia kuniua wafanya hila. 11Wanasema, “Mungu amemwacha, mkimbilieni mkamkamate, kwani hakuna wa kumwokoa.” 12Ee Mungu, usiwe mbali nami, njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu. 13Washtaki wangu na waangamie kwa aibu, wale wanaotaka kunidhuru na wafunikwe kwa dharau na fedheha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.