Native Bible

Psalms 71:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usinitupe wakati wa uzee, wala usiniache nguvu zangu zinapopungua.

Psalms 71:9 in English

Psalms 71:9 · Berean Standard Bible

Do not discard me in my old age; do not forsake me when my strength fails.

Context

7Nimekuwa kama kioja kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara. 8Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa. 9Usinitupe wakati wa uzee, wala usiniache nguvu zangu zinapopungua. 10Kwa maana adui zangu wananisengenya, wale wanaonivizia kuniua wafanya hila. 11Wanasema, “Mungu amemwacha, mkimbilieni mkamkamate, kwani hakuna wa kumwokoa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.