Native Bible

Psalms 71:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimekuwa kama kioja kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara.

Psalms 71:7 in English

Psalms 71:7 · Berean Standard Bible

I have become a portent to many, but You are my strong refuge.

Context

5Kwa kuwa umekuwa tumaini langu, Ee Bwana Mwenyezi, tegemeo langu tangu ujana wangu. 6Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe, ulinitoa tumboni mwa mama yangu. Nitakusifu wewe daima. 7Nimekuwa kama kioja kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara. 8Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa. 9Usinitupe wakati wa uzee, wala usiniache nguvu zangu zinapopungua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.