Native Bible

Psalms 71:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe, ulinitoa tumboni mwa mama yangu. Nitakusifu wewe daima.

Psalms 71:6 in English

Psalms 71:6 · Berean Standard Bible

I have leaned on You since birth; You pulled me from my mother’s womb. My praise is always for You.

Context

4Ee Mungu wangu uniokoe kutoka kwenye mkono wa mwovu, kutoka kwenye makucha ya watu wabaya na wakatili. 5Kwa kuwa umekuwa tumaini langu, Ee Bwana Mwenyezi, tegemeo langu tangu ujana wangu. 6Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe, ulinitoa tumboni mwa mama yangu. Nitakusifu wewe daima. 7Nimekuwa kama kioja kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara. 8Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.