Zaburi 71:12
Psalms 71:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, usiwe mbali nami, njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu.
Psalms 71:12 in English
Psalms 71:12 · Berean Standard Bible
Be not far from me, O God. Hurry, O my God, to help me.
Context
10Kwa maana adui zangu wananisengenya,
wale wanaonivizia kuniua wafanya hila. 11Wanasema, “Mungu amemwacha,
mkimbilieni mkamkamate,
kwani hakuna wa kumwokoa.” 12Ee Mungu, usiwe mbali nami,
njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu. 13Washtaki wangu na waangamie kwa aibu,
wale wanaotaka kunidhuru
na wafunikwe kwa dharau na fedheha. 14Lakini mimi, nitatumaini siku zote,
nitakusifu zaidi na zaidi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.