Zaburi 71:14
Psalms 71:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini mimi, nitatumaini siku zote, nitakusifu zaidi na zaidi.
Psalms 71:14 in English
Psalms 71:14 · Berean Standard Bible
But I will always hope and will praise You more and more.
Context
12Ee Mungu, usiwe mbali nami,
njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu. 13Washtaki wangu na waangamie kwa aibu,
wale wanaotaka kunidhuru
na wafunikwe kwa dharau na fedheha. 14Lakini mimi, nitatumaini siku zote,
nitakusifu zaidi na zaidi. 15Kinywa changu kitasimulia haki yako,
wokovu wako mchana kutwa,
ingawa sifahamu kipimo chake. 16Ee Bwana Mwenyezi, nitakuja
na kutangaza matendo yako makuu,
nitatangaza haki yako, yako peke yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.