Native Bible

Psalms 71:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kinywa changu kitasimulia haki yako, wokovu wako mchana kutwa, ingawa sifahamu kipimo chake.

Psalms 71:15 in English

Psalms 71:15 · Berean Standard Bible

My mouth will declare Your righteousness and Your salvation all day long, though I cannot know their full measure.

Context

13Washtaki wangu na waangamie kwa aibu, wale wanaotaka kunidhuru na wafunikwe kwa dharau na fedheha. 14Lakini mimi, nitatumaini siku zote, nitakusifu zaidi na zaidi. 15Kinywa changu kitasimulia haki yako, wokovu wako mchana kutwa, ingawa sifahamu kipimo chake. 16Ee Bwana Mwenyezi, nitakuja na kutangaza matendo yako makuu, nitatangaza haki yako, yako peke yako. 17Ee Mungu, umenifundisha tangu ujana wangu, hadi leo ninatangaza matendo yako ya ajabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.