Zaburi 120:3
Psalms 120:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu?
Psalms 120:3 in English
Psalms 120:3 · Berean Standard Bible
What will He do to you, and what will be added to you, O deceitful tongue?
Context
1Katika dhiki yangu namwita Bwana,
naye hunijibu. 2Ee Bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo
na ndimi za udanganyifu. 3Atakufanyia nini,
au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu? 4Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa,
kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu. 5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki,
kwamba naishi katikati ya hema za Kedari!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.