Zaburi 120:5
Psalms 120:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, kwamba naishi katikati ya hema za Kedari!
Psalms 120:5 in English
Psalms 120:5 · Berean Standard Bible
Woe to me that I dwell in Meshech, that I live among the tents of Kedar!
Context
3Atakufanyia nini,
au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu? 4Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa,
kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu. 5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki,
kwamba naishi katikati ya hema za Kedari! 6Nimeishi muda mrefu mno
miongoni mwa wale wanaochukia amani. 7Mimi ni mtu wa amani;
lakini ninaposema, wao wanataka vita.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.