Native Bible

Psalms 120:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu.

Psalms 120:4 in English

Psalms 120:4 · Berean Standard Bible

Sharp arrows will come from the warrior, with burning coals of the broom tree!

Context

2Ee Bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu. 3Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu? 4Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu. 5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, kwamba naishi katikati ya hema za Kedari! 6Nimeishi muda mrefu mno miongoni mwa wale wanaochukia amani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.