Native Bible

Psalms 120:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimeishi muda mrefu mno miongoni mwa wale wanaochukia amani.

Psalms 120:6 in English

Psalms 120:6 · Berean Standard Bible

Too long have I dwelt among those who hate peace.

Context

4Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu. 5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, kwamba naishi katikati ya hema za Kedari! 6Nimeishi muda mrefu mno miongoni mwa wale wanaochukia amani. 7Mimi ni mtu wa amani; lakini ninaposema, wao wanataka vita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.