Native Bible

Psalms 120:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu.

Psalms 120:2 in English

Psalms 120:2 · Berean Standard Bible

Deliver my soul, O LORD, from lying lips and a deceitful tongue.

Context

1Katika dhiki yangu namwita Bwana, naye hunijibu. 2Ee Bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu. 3Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu? 4Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.