Native Bible

Psalms 120:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika dhiki yangu namwita Bwana, naye hunijibu.

Psalms 120:1 in English

Psalms 120:1 · Berean Standard Bible

In my distress I cried to the LORD, and He answered me.

Context

1Katika dhiki yangu namwita Bwana, naye hunijibu. 2Ee Bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu. 3Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.