Native Bible

Psalms 119:137 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, wewe ni mwenye haki, sheria zako ni sahihi.

Psalms 119:137 in English

Psalms 119:137 · Berean Standard Bible

Righteous are You, O LORD, and upright are Your judgments.

Context

135Mwangazie mtumishi wako uso wako na unifundishe amri zako. 136Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu, kwa kuwa sheria yako haifuatwi. 137Ee Bwana, wewe ni mwenye haki, sheria zako ni sahihi. 138Sheria ulizoziweka ni za haki, ni za kuaminika kikamilifu. 139Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu wanayapuuza maneno yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.