Native Bible

Psalms 119:136 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu, kwa kuwa sheria yako haifuatwi.

Psalms 119:136 in English

Psalms 119:136 · Berean Standard Bible

My eyes shed streams of tears because Your law is not obeyed.

Context

134Niokoe na uonevu wa wanadamu, ili niweze kutii mausia yako. 135Mwangazie mtumishi wako uso wako na unifundishe amri zako. 136Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu, kwa kuwa sheria yako haifuatwi. 137Ee Bwana, wewe ni mwenye haki, sheria zako ni sahihi. 138Sheria ulizoziweka ni za haki, ni za kuaminika kikamilifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.