Native Bible

Psalms 119:135 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwangazie mtumishi wako uso wako na unifundishe amri zako.

Psalms 119:135 in English

Psalms 119:135 · Berean Standard Bible

Make Your face shine upon Your servant, and teach me Your statutes.

Context

133Ongoza hatua zangu kulingana na neno lako, usiache dhambi yoyote initawale. 134Niokoe na uonevu wa wanadamu, ili niweze kutii mausia yako. 135Mwangazie mtumishi wako uso wako na unifundishe amri zako. 136Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu, kwa kuwa sheria yako haifuatwi. 137Ee Bwana, wewe ni mwenye haki, sheria zako ni sahihi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.