Zaburi 119:134
Psalms 119:134 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niokoe na uonevu wa wanadamu, ili niweze kutii mausia yako.
Psalms 119:134 in English
Psalms 119:134 · Berean Standard Bible
Redeem me from the oppression of man, that I may keep Your precepts.
Context
132Nigeukie na unihurumie, kama uwafanyiavyo siku zote
wale wanaolipenda jina lako. 133Ongoza hatua zangu kulingana na neno lako,
usiache dhambi yoyote initawale. 134Niokoe na uonevu wa wanadamu,
ili niweze kutii mausia yako. 135Mwangazie mtumishi wako uso wako
na unifundishe amri zako. 136Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu,
kwa kuwa sheria yako haifuatwi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.