Native Bible

Psalms 119:132 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nigeukie na unihurumie, kama uwafanyiavyo siku zote wale wanaolipenda jina lako.

Psalms 119:132 in English

Psalms 119:132 · Berean Standard Bible

Turn to me and show me mercy, as You do to those who love Your name.

Context

130Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru, kunampa mjinga ufahamu. 131Nimefungua kinywa changu na kuhema, nikitamani amri zako. 132Nigeukie na unihurumie, kama uwafanyiavyo siku zote wale wanaolipenda jina lako. 133Ongoza hatua zangu kulingana na neno lako, usiache dhambi yoyote initawale. 134Niokoe na uonevu wa wanadamu, ili niweze kutii mausia yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.