Native Bible

Psalms 119:130 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru, kunampa mjinga ufahamu.

Psalms 119:130 in English

Psalms 119:130 · Berean Standard Bible

The unfolding of Your words gives light; it informs the simple.

Context

128na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili, nachukia kila njia potovu. 129Sheria zako ni za ajabu, hivyo ninazitii. 130Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru, kunampa mjinga ufahamu. 131Nimefungua kinywa changu na kuhema, nikitamani amri zako. 132Nigeukie na unihurumie, kama uwafanyiavyo siku zote wale wanaolipenda jina lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.