Native Bible

Psalms 119:128 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili, nachukia kila njia potovu.

Psalms 119:128 in English

Psalms 119:128 · Berean Standard Bible

Therefore I admire all Your precepts and hate every false way.

Context

126Ee Bwana, wakati wako wa kutenda umewadia, kwa kuwa sheria yako inavunjwa. 127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, naam, zaidi ya dhahabu safi, 128na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili, nachukia kila njia potovu. 129Sheria zako ni za ajabu, hivyo ninazitii. 130Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru, kunampa mjinga ufahamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.