Native Bible

Psalms 119:129 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sheria zako ni za ajabu, hivyo ninazitii.

Psalms 119:129 in English

Psalms 119:129 · Berean Standard Bible

Wonderful are Your testimonies; therefore I obey them.

Context

127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, naam, zaidi ya dhahabu safi, 128na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili, nachukia kila njia potovu. 129Sheria zako ni za ajabu, hivyo ninazitii. 130Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru, kunampa mjinga ufahamu. 131Nimefungua kinywa changu na kuhema, nikitamani amri zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.