Native Bible

Psalms 119:127 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, naam, zaidi ya dhahabu safi,

Psalms 119:127 in English

Psalms 119:127 · Berean Standard Bible

Therefore I love Your commandments more than gold, even the purest gold.

Context

125Mimi ni mtumishi wako; nipe ufahamu ili niweze kuelewa sheria zako. 126Ee Bwana, wakati wako wa kutenda umewadia, kwa kuwa sheria yako inavunjwa. 127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, naam, zaidi ya dhahabu safi, 128na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili, nachukia kila njia potovu. 129Sheria zako ni za ajabu, hivyo ninazitii.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.