Zaburi 119:126
Psalms 119:126 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, wakati wako wa kutenda umewadia, kwa kuwa sheria yako inavunjwa.
Psalms 119:126 in English
Psalms 119:126 · Berean Standard Bible
It is time for the LORD to act, for they have broken Your law.
Context
124Mfanyie mtumishi wako kulingana na upendo wako
na unifundishe maagizo yako. 125Mimi ni mtumishi wako; nipe ufahamu
ili niweze kuelewa sheria zako. 126Ee Bwana, wakati wako wa kutenda umewadia,
kwa kuwa sheria yako inavunjwa. 127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu,
naam, zaidi ya dhahabu safi, 128na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili,
nachukia kila njia potovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.