Native Bible

Psalms 119:125 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi ni mtumishi wako; nipe ufahamu ili niweze kuelewa sheria zako.

Psalms 119:125 in English

Psalms 119:125 · Berean Standard Bible

I am Your servant; give me understanding, that I may know Your testimonies.

Context

123Macho yangu yamefifia, yakitazamia wokovu wako, na kuitazamia ahadi yako ya kweli. 124Mfanyie mtumishi wako kulingana na upendo wako na unifundishe maagizo yako. 125Mimi ni mtumishi wako; nipe ufahamu ili niweze kuelewa sheria zako. 126Ee Bwana, wakati wako wa kutenda umewadia, kwa kuwa sheria yako inavunjwa. 127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, naam, zaidi ya dhahabu safi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.