Native Bible

Psalms 119:124 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mfanyie mtumishi wako kulingana na upendo wako na unifundishe maagizo yako.

Psalms 119:124 in English

Psalms 119:124 · Berean Standard Bible

Deal with Your servant according to Your loving devotion, and teach me Your statutes.

Context

122Mhakikishie mtumishi wako usalama, usiache wenye kiburi wanionee. 123Macho yangu yamefifia, yakitazamia wokovu wako, na kuitazamia ahadi yako ya kweli. 124Mfanyie mtumishi wako kulingana na upendo wako na unifundishe maagizo yako. 125Mimi ni mtumishi wako; nipe ufahamu ili niweze kuelewa sheria zako. 126Ee Bwana, wakati wako wa kutenda umewadia, kwa kuwa sheria yako inavunjwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.