Zaburi 119:122
Psalms 119:122 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mhakikishie mtumishi wako usalama, usiache wenye kiburi wanionee.
Psalms 119:122 in English
Psalms 119:122 · Berean Standard Bible
Ensure Your servant’s well-being; do not let the arrogant oppress me.
Context
120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe,
ninaziogopa sheria zako. 121Nimetenda yaliyo haki na sawa,
usiniache mikononi mwa watesi wangu. 122Mhakikishie mtumishi wako usalama,
usiache wenye kiburi wanionee. 123Macho yangu yamefifia, yakitazamia wokovu wako,
na kuitazamia ahadi yako ya kweli. 124Mfanyie mtumishi wako kulingana na upendo wako
na unifundishe maagizo yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.