Native Bible

Psalms 119:121 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimetenda yaliyo haki na sawa, usiniache mikononi mwa watesi wangu.

Psalms 119:121 in English

Psalms 119:121 · Berean Standard Bible

I have done what is just and right; do not leave me to my oppressors.

Context

119Waovu wa nchi unawatupa kama takataka, kwa hivyo nazipenda sheria zako. 120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, ninaziogopa sheria zako. 121Nimetenda yaliyo haki na sawa, usiniache mikononi mwa watesi wangu. 122Mhakikishie mtumishi wako usalama, usiache wenye kiburi wanionee. 123Macho yangu yamefifia, yakitazamia wokovu wako, na kuitazamia ahadi yako ya kweli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.