Native Bible

Psalms 119:120 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, ninaziogopa sheria zako.

Psalms 119:120 in English

Psalms 119:120 · Berean Standard Bible

My flesh trembles in awe of You; I stand in fear of Your judgments.

Context

118Unawakataa wote wanaoyaasi maagizo yako, kwa maana udanganyifu wao ni bure. 119Waovu wa nchi unawatupa kama takataka, kwa hivyo nazipenda sheria zako. 120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, ninaziogopa sheria zako. 121Nimetenda yaliyo haki na sawa, usiniache mikononi mwa watesi wangu. 122Mhakikishie mtumishi wako usalama, usiache wenye kiburi wanionee.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.