Zaburi 119:118
Psalms 119:118 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Unawakataa wote wanaoyaasi maagizo yako, kwa maana udanganyifu wao ni bure.
Psalms 119:118 in English
Psalms 119:118 · Berean Standard Bible
You reject all who stray from Your statutes, for their deceitfulness is in vain.
Context
116Nihifadhi sawasawa na ahadi yako, nami nitaishi;
usiache matumaini yangu yakavunjwa. 117Nitegemeze, nami nitaokolewa,
nami daima nitayaheshimu maagizo yako. 118Unawakataa wote wanaoyaasi maagizo yako,
kwa maana udanganyifu wao ni bure. 119Waovu wa nchi unawatupa kama takataka,
kwa hivyo nazipenda sheria zako. 120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe,
ninaziogopa sheria zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.