Zaburi 119:138
Psalms 119:138 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sheria ulizoziweka ni za haki, ni za kuaminika kikamilifu.
Psalms 119:138 in English
Psalms 119:138 · Berean Standard Bible
The testimonies You have laid down are righteous and altogether faithful.
Context
136Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu,
kwa kuwa sheria yako haifuatwi. 137Ee Bwana, wewe ni mwenye haki,
sheria zako ni sahihi. 138Sheria ulizoziweka ni za haki,
ni za kuaminika kikamilifu. 139Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu
wanayapuuza maneno yako. 140Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu,
mtumishi wako anazipenda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.