Zaburi 119:139
Psalms 119:139 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu wanayapuuza maneno yako.
Psalms 119:139 in English
Psalms 119:139 · Berean Standard Bible
My zeal has consumed me because my foes forget Your words.
Context
137Ee Bwana, wewe ni mwenye haki,
sheria zako ni sahihi. 138Sheria ulizoziweka ni za haki,
ni za kuaminika kikamilifu. 139Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu
wanayapuuza maneno yako. 140Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu,
mtumishi wako anazipenda. 141Ingawa ni mdogo na ninadharauliwa,
sisahau mausia yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.