Zaburi 119:140
Psalms 119:140 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu, mtumishi wako anazipenda.
Psalms 119:140 in English
Psalms 119:140 · Berean Standard Bible
Your promise is completely pure; therefore Your servant loves it.
Context
138Sheria ulizoziweka ni za haki,
ni za kuaminika kikamilifu. 139Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu
wanayapuuza maneno yako. 140Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu,
mtumishi wako anazipenda. 141Ingawa ni mdogo na ninadharauliwa,
sisahau mausia yako. 142Haki yako ni ya milele,
na sheria yako ni kweli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.