Zaburi 119:141
Psalms 119:141 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ingawa ni mdogo na ninadharauliwa, sisahau mausia yako.
Psalms 119:141 in English
Psalms 119:141 · Berean Standard Bible
I am lowly and despised, but I do not forget Your precepts.
Context
139Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu
wanayapuuza maneno yako. 140Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu,
mtumishi wako anazipenda. 141Ingawa ni mdogo na ninadharauliwa,
sisahau mausia yako. 142Haki yako ni ya milele,
na sheria yako ni kweli. 143Shida na dhiki zimenipata,
lakini amri zako ni furaha yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.