Zaburi 119:143
Psalms 119:143 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shida na dhiki zimenipata, lakini amri zako ni furaha yangu.
Psalms 119:143 in English
Psalms 119:143 · Berean Standard Bible
Trouble and distress have found me, but Your commandments are my delight.
Context
141Ingawa ni mdogo na ninadharauliwa,
sisahau mausia yako. 142Haki yako ni ya milele,
na sheria yako ni kweli. 143Shida na dhiki zimenipata,
lakini amri zako ni furaha yangu. 144Sheria zako ni sahihi milele,
hunipa ufahamu ili nipate kuishi. 145Ee Bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote,
nami nitayatii maagizo yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.