Native Bible

Psalms 119:145 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote, nami nitayatii maagizo yako.

Psalms 119:145 in English

Psalms 119:145 · Berean Standard Bible

I call with all my heart; answer me, O LORD! I will obey Your statutes.

Context

143Shida na dhiki zimenipata, lakini amri zako ni furaha yangu. 144Sheria zako ni sahihi milele, hunipa ufahamu ili nipate kuishi. 145Ee Bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote, nami nitayatii maagizo yako. 146Ninakuita; niokoe nami nitazishika sheria zako. 147Ninaamka asubuhi na mapema na kukuomba msaada; nimeweka tumaini langu katika neno lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.