Native Bible

Psalms 119:146 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninakuita; niokoe nami nitazishika sheria zako.

Psalms 119:146 in English

Psalms 119:146 · Berean Standard Bible

I call to You; save me, that I may keep Your testimonies.

Context

144Sheria zako ni sahihi milele, hunipa ufahamu ili nipate kuishi. 145Ee Bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote, nami nitayatii maagizo yako. 146Ninakuita; niokoe nami nitazishika sheria zako. 147Ninaamka asubuhi na mapema na kukuomba msaada; nimeweka tumaini langu katika neno lako. 148Sikufumba macho yangu usiku kucha, ili niweze kutafakari juu ya ahadi zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.