Native Bible

Psalms 119:148 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikufumba macho yangu usiku kucha, ili niweze kutafakari juu ya ahadi zako.

Psalms 119:148 in English

Psalms 119:148 · Berean Standard Bible

My eyes anticipate the watches of night, that I may meditate on Your word.

Context

146Ninakuita; niokoe nami nitazishika sheria zako. 147Ninaamka asubuhi na mapema na kukuomba msaada; nimeweka tumaini langu katika neno lako. 148Sikufumba macho yangu usiku kucha, ili niweze kutafakari juu ya ahadi zako. 149Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako, Ee Bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako. 150Wale wanaopanga mipango miovu wako karibu nami, lakini wako mbali na sheria yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.