Native Bible

Psalms 119:149 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako, Ee Bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako.

Psalms 119:149 in English

Psalms 119:149 · Berean Standard Bible

Hear my voice, O LORD, according to Your loving devotion; give me life according to Your justice.

Context

147Ninaamka asubuhi na mapema na kukuomba msaada; nimeweka tumaini langu katika neno lako. 148Sikufumba macho yangu usiku kucha, ili niweze kutafakari juu ya ahadi zako. 149Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako, Ee Bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako. 150Wale wanaopanga mipango miovu wako karibu nami, lakini wako mbali na sheria yako. 151Ee Bwana, hata hivyo wewe u karibu, na amri zako zote ni za kweli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.