Zaburi 119:151
Psalms 119:151 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, hata hivyo wewe u karibu, na amri zako zote ni za kweli.
Psalms 119:151 in English
Psalms 119:151 · Berean Standard Bible
You are near, O LORD, and all Your commandments are true.
Context
149Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako,
Ee Bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako. 150Wale wanaopanga mipango miovu wako karibu nami,
lakini wako mbali na sheria yako. 151Ee Bwana, hata hivyo wewe u karibu,
na amri zako zote ni za kweli. 152Tangu zamani nimejifunza kutoka shuhuda zako
kwamba umezithibitisha ili zidumu milele. 153Yaangalie mateso yangu, uniokoe,
kwa kuwa sijasahau sheria yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.