Native Bible

Psalms 119:152 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tangu zamani nimejifunza kutoka shuhuda zako kwamba umezithibitisha ili zidumu milele.

Psalms 119:152 in English

Psalms 119:152 · Berean Standard Bible

Long ago I learned from Your testimonies that You have established them forever.

Context

150Wale wanaopanga mipango miovu wako karibu nami, lakini wako mbali na sheria yako. 151Ee Bwana, hata hivyo wewe u karibu, na amri zako zote ni za kweli. 152Tangu zamani nimejifunza kutoka shuhuda zako kwamba umezithibitisha ili zidumu milele. 153Yaangalie mateso yangu, uniokoe, kwa kuwa sijasahau sheria yako. 154Nitetee katika hali hii yangu na unikomboe, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na ahadi yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.