Zaburi 119:150
Psalms 119:150 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale wanaopanga mipango miovu wako karibu nami, lakini wako mbali na sheria yako.
Psalms 119:150 in English
Psalms 119:150 · Berean Standard Bible
Those who follow after wickedness draw near; they are far from Your law.
Context
148Sikufumba macho yangu usiku kucha,
ili niweze kutafakari juu ya ahadi zako. 149Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako,
Ee Bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako. 150Wale wanaopanga mipango miovu wako karibu nami,
lakini wako mbali na sheria yako. 151Ee Bwana, hata hivyo wewe u karibu,
na amri zako zote ni za kweli. 152Tangu zamani nimejifunza kutoka shuhuda zako
kwamba umezithibitisha ili zidumu milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.