Native Bible

Psalms 119:153 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yaangalie mateso yangu, uniokoe, kwa kuwa sijasahau sheria yako.

Psalms 119:153 in English

Psalms 119:153 · Berean Standard Bible

Look upon my affliction and rescue me, for I have not forgotten Your law.

Context

151Ee Bwana, hata hivyo wewe u karibu, na amri zako zote ni za kweli. 152Tangu zamani nimejifunza kutoka shuhuda zako kwamba umezithibitisha ili zidumu milele. 153Yaangalie mateso yangu, uniokoe, kwa kuwa sijasahau sheria yako. 154Nitetee katika hali hii yangu na unikomboe, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na ahadi yako. 155Wokovu uko mbali na waovu, kwa kuwa hawatafuti maagizo yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.