Zaburi 119:155
Psalms 119:155 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wokovu uko mbali na waovu, kwa kuwa hawatafuti maagizo yako.
Psalms 119:155 in English
Psalms 119:155 · Berean Standard Bible
Salvation is far from the wicked because they do not seek Your statutes.
Context
153Yaangalie mateso yangu, uniokoe,
kwa kuwa sijasahau sheria yako. 154Nitetee katika hali hii yangu na unikomboe,
uyahifadhi maisha yangu sawasawa na ahadi yako. 155Wokovu uko mbali na waovu,
kwa kuwa hawatafuti maagizo yako. 156Ee Bwana, huruma zako ni kuu,
uyahifadhi maisha yangu sawasawa na sheria zako. 157Adui wanaonitesa ni wengi,
lakini mimi sitaziacha sheria zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.